(Jengo la makao makuu ya jimbo la mashariki kati mwa Tanzania ( Picha na Uncle Prince) |
Kanisa la waadventista wa sabato jimbo la mashariki kati mwa Tanzania limetangaza mabadiliko ya
vituo vya kazi kwa baadhi ya wachungaji wake .
Akizungumzia mabadiliko hayo mkurugenzi wa Idara ya mawasiliano wa jimbo hilo
Mchungaji Izungo amesema mabadiliko hayo yametokana na vikao vya mwisho wa Mwaka vya
kamati kuu ya Jimbo.
Mchungaji Izungo amesema mabadiliko hayo yametokana na vikao vya mwisho wa Mwaka vya
kamati kuu ya Jimbo.
Wachungaji hao waliobadilishiwa vituo ni
- Pr.Shauri anayekwenda mtaa wa Kondoa, mkoani Dodoma
- Pr.Martinus anayekwenda ntaa wa Mlali,
- Pr.Manyasi anayekwenda mtaa wa Pwaga,
- Pr.Bunga anayekwenda mtaa wa Mpwapwa,
- Pr.Shayo anayekwenda kuwa mchungaji sekondari ya kanisa Kitungwa,
- Pr.Kibasisi anayekwenda mtaa wa Gairo,
- Pr.Lawi anayekwenda mtaa wa Kilosa,
Mchungaji Andrew Izungo amesema wachungaji wengine ni
- Pr.Imani anayekwenda mtaa wa Mikese mkoani pamoja na Pr.Shashnale ambaye naye
- Pr.Bigambo anayekwenda mtaa wa Kunduchi,
- Pr.Moses anayekwenda mtaa wa Bunju,
- Pr.Charles Mjema anayekwenda mtaa wa Mwenge,
- Pr.Stephen Letta aliyekuwa mchungaji wa mtaa wa Mwenge anahamia mtaa wa Tegeta,
- Pr.David Mmbaga aliyekuwa mchungaji wa mtaa wa Tegeta anahamia mtaa wa Dodoma,
- Pr.Bomani anayekwenda mtaa wa Kizota,
- Pr.Ombeni anayekwenda mtaa wa Kilombero mkoani Morogoro
- Pr.Methsela anakwenda kuwa mchungaji wa mtaa wa Mtimbila.
Wengine ni
- Pr.Saguda anayekwenda kuwa mchungaji wa mtaa wa Malinyi,
- Emmanuel Nzota anayekwenda kuwa mchungaji wa mtaa wa Mlimba
- Pr.Masunya anayekuwa mchungaji wa mtaa wa Kinondoni,
- Pr.Kibaso anayekuwa mchungaji wa mtaa wa Jamaica,
- Pr.Petro Mganda anayekuwa mchungaji wa mtaa wa Morogoro Mjini
Ikumbukwe kuwa kazi ya uchungaji ni wito hivyo basi tunaamini kuwa Mungu ataendelea
kuwatumia wachungaji hawa katika kazi yake .
kuwatumia wachungaji hawa katika kazi yake .
No comments:
Post a Comment