Baadhi ya watoto wa mji wa Aleppo wakipata msaada toka kwa waokoaji (Picha kwa hisani ya mtandao)
Ikiwa ni miezi kadhaa sasa
tangu raia na jamii nzima katika mji wa Aleppo nchini Syria
ikendelea kushuhudia mashambulizi ya angani,ardhini na makombora je si wakati
sasa wa dunia nzima kuchukua hatua kuwalinda raia wakiwemo watoto hawa
ambao wako chini ya vitisho vya kuzuka vita.
Suala la
kuwasaidia watoto hawa si la hiyari kwani haitakuwa mara ya kwanza kwa dunia
kufanya hivyo kwani kumekuwepo na mikataba kadhaa kama vile mkataba wa Geneva na baraza la usalama la
Umoja wa Mataifa ambalo lilianzishwa baada ya Vita Kuu ya Pili lengo
likiwa ni kudumisha amani na kuwalinda watu raia walio katika maeneo ya vita.
Hali ilivyo sasa
huko Syria na maeneo mengine yenye vita vya wenyewe kwa wenyewe mikataba hiyo
inaonekana kutokuwa na ufanisi au kuwa na ufanisi mdogo kwani mauaji ya
raia wasio na hatia wakiwemo watoto yameendelea huku dunia ikiwa haichukulii
uzito suala hilo

uzito suala hilo Ikiwa umoja wa mataifa na dunia nzima kwa ujumla hawataingilia kati mgogoro huu suala hili litaleta madhara kwa watoto hawa na jamii ya Syria kwa ujumla na kupelekea watoto hawa kukosa hali zao za msingi.
No comments:
Post a Comment